Monday, August 29

Ujumbe toka kwa Rafiq

Awali ya yote napenda sana kukupongeza na blog yako, yaani sikujua kama napitwa hivi! Mi napenda sana mapishi na nilivyokuja ona hii blog nimefurahi sana. I'm one among ur best fun on menutimes ingawa naona kimya toka 12aug, imekuwaje dadaangu?

Kwa leo naomba nikupe tuhongera ila next time ntaanza kukusumbua na maswali ila usinichoke tafadhali.

Asante sana kwa hongera zako, Nimefurahi kusikia toka kwako.

No comments:

Post a Comment