Wednesday, August 10

Menyu ya Asubuhi a.k.a Breakfast - Mgahawa wa Saffron.

Baada ya kimya kirefu kilichosababishwa na yaliyo nje ua uwezo wangu, nimerejea tena. Kwanza niwashukuru sana kwa kuwa wavumilivu, wema na kuendelea kutembelea blog yangu. Asanteni sana Rafiqs wa Ukweli.

Nilibahatika kupita mgahawa wa Saffron uliopo Nyerere road na kupata kifungua kinywa nikiambatana na kaka yangu na mkewe.

Karibu:
Wao waliagizia kifungua kinywa hiki kila mmoja sahani yake, wanapenda sana nyanya... ha ha haaa

Mimi nilijaribisha hii: ila hilo jani ilibidi nilikatekate kuweza kulila 


Kwa fedha taslim kati ya 8,500 - 10,000/= mlo huu wa asubuhi waweza kuupata katika mgahawa huo. Sasa chaguo lako kama ni kushushia na chai ya rangi, kahawa, maziwa, soda, juisi au maji ni wewe tu.

Share nasi kifungua kinywa chako. Tutumie menutimes@gmail.com

No comments:

Post a Comment