Monday, July 11

Safari ya Bukoba

Nipo Uwanja wa ndege - Julius Nyerere nasubiri kuelekea Bukoba kupitia Mwanza. Naamini nitapata mengi sana na nitawaarifu kadri muda unavyokwenda.
Nawatakieni Wiki njema, Siku njema na yenye Baraka
Wasalaam,
LJM

No comments:

Post a Comment