Thursday, July 21

Bukoba

Raha ya kula macaroni, iwe na nyama ya kusaga, mbogamboga, kuku au uchanganye na mboga nyingine yeyote uipendayo ni kuongezea jibini a.k.a cheese. Ya sita Menyu toka BK ni macaroni na kuku na extra extra cheese.

Pishi hili nitalipika siku za karibuni, halafu nitakuhabarisha mahitaji na hatua moja baada ya nyingine mpaka mlo kamili utakapokamilika. Ila kama wewe unajua kupika kwa namna ingine basi tujuze nasi kupitia menutimes@gmail.com

No comments:

Post a Comment