Friday, November 22

TGIF..... Twaanzaje Wikiendi???

Wikiendi si ndo hii Rafiqs, hivyo basi tuiamshe amshe tuipe umatemate na utamu unaotakikana. Si tumefanyakazi au kwenda shule wiki nzima, biasharani je??
  Je, twaanzaje????? sisi tumerejea Rombo, Moshi, Kilimanjaro ambapo twaanza na mtori mtaaamu. Disemba hiyoooooo mambo ya kuhesabiwa soon soon!!

  Tujuze wikiendi imekaaje? wapi tunainjoi..... wapi tunakula njiwa a.k.a njiwa villa?????
Kukuupdate ni kwamba kesho tutakua pande za White sands, afu tunasherekea siku za kuzaliwa kwa mama wa Bertha na Simon yaani .... so unakua unajua nini unatakiwa kufanya... Jumatatu asubuhi fasta njoo tutembelee ila wakati wa wikiendi tufwate kwa twitter kupitia @menutimetz. Kupitia instagram: @menutimes na facebook page yetu ni www.facebook.com/MenuTime
  Tuwatakie wikiendi njema yenye Baraka na Amani!!

No comments:

Post a Comment