Monday, June 2

Cha nyumbani

Tumeamkaje asubuhi hii? Habari ya wikiendi... naamini tupo tayari kusukuma gurudumu la maendeleo.
Leo tumerejea nyumbani kidogo na menu tunayoshare nanyi ni hii....
                                    

 Ni mchanganyio wa maharagwe na mahindi, kisha yakaungwa kwa nazi na kutoa ladha tamuu.
   Wikiendi Rafiq ulienjoy na menu gani kwako??

No comments:

Post a Comment