Wednesday, February 13

Kifunga kinywa toka USA kwa Obama

   Kama tulivyosema tuna Wawakilishi, Membaz wa MT, Rafiqs, Partners, Brothers & sisters all over the world..... ni hivi Menu Time inatambulika kote, na ina marafiq wengi pamoja na wewe unayesoma sasa.
   Kutoka pande za USA kule alipo Obama, kuna mwakilishi ambae naye huwa anashare nasi menu anazozipata pande tofauti. Tutaanza kutaja na maeneo muda ukifika ila kwa sasa tuangalie tu menu tofauti zinazopatikana huko.
   Bwana Peter ameshare nasi mlo wa usiku alioupata leo.... karibu kujionea.

   Niliambiwa hapo kuna toasted bread na hash browns, nyama na mayai, ambapo vyote vilishushiwa na juisi nzito katika kuukamilisha usiku wake.
   Tujuze unapata menu gani kupitia menutimes@gmail.com, nasi tutashare na Rafiqs wa MT. Peter asante sana partner!!

No comments:

Post a Comment